Wednesday, July 9, 2014

Wafungaji mabao ya Ujerumani Ujerumandiyo timu ya kwanza kufuzu kwenye Fainali ya kombe la dunia Brazil 2014, baada ya kuinyeshea wenyeji Brazil mabao 7-1 katika uwanja wa Estadio Mineirao ulioko Belo Horizonte. Umakini wa vijana wa Joachim Low ulikuwa wa kupigiwa mfano walipoiadhibu Brazil na kuwa timu ya kwanza kuwahi...
Hofu kuwa Van Persie huenda asishiriki mechi dhidi ya Argentina Kocha wa Uholanzi Lous van Gaal amezua taharuki baada ya kusema kuwa mashambulizi wake matata van Persie anaugua utumbo na kuwa anahofu iwapo atacheza dhidi ya Argentika katika mechi ya pili ya nudu fainali au la. Kocha Van Gaal amesema kuwa nafasi yake huenda ikachukuliwa na Nigel de Jong iwapo daktari wa timu hiyo atadhibitisha...
KAMPUNI kubwa ya vifaa vya michezo ya Nike ya Marekani inatarajiwa kutoongeza mkataba mwingine wa kuitengenezea jezi timu ya Manchester United kutokana na gharama za mkataba mpya. Nike wamekuwa wakitengeneza jezi maarufu za United toka mwaka 2002 na mkataba wao unatarajiwa kumalizika mwakani. Kuondoka kwa Nike kunatarajiwa kutengeneza njia kwa kampuni nyingine ya vifaa vya michezo ya...
Kocha wa Brazil Luiz Felipe hana hamu!! Hoi!! Kazi ngumu sana kwake na pia kuamini!!Andre Schürrle akishangilia moja ya bao lakeNipe tano kaka!! nimetupia mbili!!Mtanange umemalizika!Oscar akikumbatiwa na  Andre Schürrle!! wanajuana Ligi kuu EnglandLuiz akipagawa huku akiangaliwa kwa machungu na Mesut OzilLuiz Gustavo ni majanga matupu!!!Ni majonzi matupu!!! Kilio!Kocha wa Brazil Felipe...

waliotembelea blog