Mchezaji wa timu ya wanawake ya Nigeria Ugo Njoku amepigwa marufuku ya mechi tatu.Kamati
ya nidhamu ya FIFA ilifanya kikao chake nchini Canada na kufikia uamuzi
huo baada ya kutizama video inayomuonesha Njoku akimpiga kumbo mchezaji
wa Australia Sam Kerr katika mechi ya makundi ya kombe la dunia la
wanawake .Mchezaji huyo mwenye
umri wa miaka 20 alikuwa mchezaji wa akiba na aliingia uwanjani...