Man
United baada ya kukosa kukaa kileleni mwa Ligi Kuu England Wikiendi
iliyopita walipotoka Sare ya 1-1 na Leicester City, sasa kazi kubwa kwa
Man United Wikiendi hii ni kwanza kuhakikisha Rekodi yao ya kutofungwa
Nyumbani kwao Old Trafford inadumu.Wakiwa
ngomeni kwao Old Trafford, Man United wamefungwa Bao 1 tu Msimu huu na
Jumamosi wanaivaa West Ham ambayo iko chini ya Kocha kutoka...