Robin
van Persie akiwa na kiungo wa Ac Milan, Nigel De Jong wiki hii kwenye
chakula cha jioni. Tetesi zinasema kuwa Ac Milan wanamtaka RVP hivyo
wanamtumia De Jong kumshawishi.
Mshambualiji wa zamani wa Man utd, Eric Cantona akihojiwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia mtu mmoja jijini London.
Cantona akipanda kwenye gari la polisi kuelekea kituoni kwa mahojiano...
Thursday, March 13, 2014


Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Edward Lowasa na Anna Tibaijuka
wakimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Bunge maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta
Mara baada ya Kutangazwa Kuwa Mshindi wa Nafasi hiyo kwa Idadi ya Kura
487 dhidi ya Hashim Rungwe aliyepata kura 69 na kura zilizoharibika ni
7
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba na aliyekuwa Mgombe...


WAKATI
zoezi la upigaji kura kuchagua, mgeni rasmi, waimbaji na mikoa
itakayofanyika tamasha la Pasaka mwaka huu, baadhi ya mameneja wa
viwanja vya michezo hapa nchini wamelizungumzia tamasha hilo kwamba
ingekuwa vema lingefanyika kwenye mikoa yao.
Kwa
kutambua umuhimu wa waumini, mashabiki na wadau wa nyimbo za Injili
hapa nchini, Kampuni...


WEKUNDU
wa Msimbazi Simba wamelaumu timu zinazoingia kwa kukamia wapinzani wao
katika mitanange ya lala salama ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa
2013/2014.
Akizungumza
na mtandao huu, afisa habari wa Simba Asha Muhaji amesema hali ya
kukamiana uwanjani inaharibu ubora wa mpira katika mechi mbalimbali.
“Kuna
wakati unaweza kushangaa, mchezaji fulani...


Msafara
wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young
Africans leo asubuhi umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mjini
Morogoro tayari kwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya jumamosi, mechi
itakayopigwa kwenye dimba la Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Young
Africans inayonolewa na makocha Hans Van der Pluijm kutoka Uholanzi,...


Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya Taasisi ya Figo nchini baada ya
kuhutubia katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya Afya ya figo kwenye
viwanja wa Nyerere mjini Dodoma Machi 13, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na watalaamu wa magonjwa ya figo
katika maadhimisho ya kilele cha...


Kocha wa Simba SC, Mcroatia, Dravko Logarusic akitoa maelekezo kwavijana wake
Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaam
0712461976 au 0764302956
WEKUNDU
wa Msimbazi Simba wamelaumu timu zinazoingia kwa kukamia wapinzani wao
katika mitanange ya lala salama ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa
2013/2014.
Akizungumza
na mtandao huu, afisa habari wa Simba Asha Muhaji...


Mtendaji
Mkuu Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fisoo akiwasilisha Rasimu ya awali ya
Sera ya Filamu wakati wa moja ya kikao cha wadau cha kujadili rasimu ya
awali ya Sera ya Filamu kilichofanyika hivi karibuni. Kulia ni
Mkurugenzi msaidizi kutoka Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na...


Sergio
Aguero ndiye mfungaji hodari wa klabu ya Man city, kwenye mchezo wa
kwanza dhidi ya Barcelona hakuweza kucheza kutokana na majeraha ya mguu.
Aguero amerudi dimbani wiki mbili zilizopita akicheza mechi za ligi na
FA cup. Muda aliyopata kwenye mechi hizi hakika ni mazoezi tosha kuweza
kuwakabili Barcelona usiku wa leo. Ubutu wa mabeki wa Barcelona inaweza
kuwa ni njia rahisi kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)