Rais
wa Chama cha Waendesha Baiskeli Tanzania, Godfrey Jacks Muhagama,
ambaye pia ni miongoni mwa waendesha baiskeli kwenye msafara huo
ulioanzia Mbeya akitoa maelezo ya namna shughuli hiyo ilivyofanikiwa.
Mwakilishi wa Norwegian Church Aid nchini Tanzania, Tale
Hungnes akiwapongeza waendesha baiskeli mara baada ya kufika Dar es
Salaam wakitokea kwenye mpaka...
Sunday, October 25, 2015


Mechi za Raundi ya 4 ya Kombe la Ligi, Capital One Cup, zitachezwa Jumanne na Jumatano kwa Mechi 4 kila Siku, Mabingwa
Watetezi wa Kombe hili, Chelsea, Jumanne wapo Ugenini kucheza na wenzao
wa Ligi Kuu England, Stoke City na Siku hiyo pia Arsenal watakuwa
Wageni wa Timu ya Daraja la chini, Sheffield Wednesday Jumatano,
Manchester United wapo Nyumbani kwao Old Trafford kucheza na
Middlesbrough...


Mane alipoisawazishia bao Southampton dakika za lala salama na kufanya 1-1Klopp tena sare leo hii dhidi ya SouthamptonBenteke akitupia bao kwa kichwa.VIKOSI:Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Lucas, Can, Milner, Coutinho, Lallana, Origi Akiba: Bogdan, Toure, Benteke, Firmino, Allen, Ibe, Randall Southampton: Stekelenburg, Cedric, Fonte, van Dijk, Bertrand, Wanyama, Clasie, S....


Rooney akimtoka SagnaDaaa...chupu chupu!Bastian akiachia shuti mbele ya FernadinhoAnder Herrera akipanga amtoke vipi Kompany wa CitySir Alex Ferguson Yaya Toure akikanywaChupuchupu!Rooney na Kompany wakiteta kwa mikono!Sterling, Bony na Bruyne MartialKompany akioneshwa kadi ya njano katika kipindi cha kwanza na Mwamuzi Mark Clattenburg.Antonio aliumia hapa katika kipindi cha kwanzaHadi...
Subscribe to:
Posts (Atom)