Saturday, October 18, 2014

Wachezaji wa Stand United wakipasha muda mfupi kabla ya kipute kuanzaWachezaji wa Stand United ya mjini Shinyanga wakipasha kwenye Uwanja wa Kaitaba punde.....
NEWCASTLE imeamua kuchukua hatua kujikinga na Ugonjwa wa Ebola kwa kuwapima Wachezaji wao wanaorejea Klabuni baada ya Mechi za Kimataifa toka Barani Afrika.Gonjwa la Ebola limeikumba Afrika Magharibi na kuua Watu zaidi ya 4,000 na hivi sawa huko Uingereza Vituo vya Forodha vya Majini na kwenye Ndege Watu hupimwa Ugonjwa huo.Sasa Klabu ya Newcastle nayo imeamua kuwapima Wachezaji wao Waafrika...

waliotembelea blog