Tuesday, September 10, 2013

usiku wa Saida Wafana Bukoba! Tamasha la Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli limefana usiku huu kwenye ukumbu wa Lina's Night Club Bukoba. Tamasha lililokuwa linaitwa "usiku wa Saida Kaoli" huku watu wengi wakijitokeza kumuona kwa mara ntingine hapa Bukoba Tangu azushiwe na wadau kwamba alifariki Dunia katika ajali ya boti miezi michache iliyopita habari iliyokuwa ya...

waliotembelea blog