BAADA
ya Wiki iliyopita kuchezwa Mechi 4 za Kwanza za Raundi ya Mtoano ya
Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, Wiki hii nayo zipo Mechi 4 za mwisho
kumalizia Mechi za Kwanza za Raundi hiyo. KESHO Jumanne Usiku zipo
Mechi mbili moja ikiwa huko Etihad Jijini Manchester wakati Manchester
City watakapoivaa FC Barcelona na nyingine huko Mjini Turin Nchini Italy
wakati Mabingwa wa Italy na Timu...