Saturday, July 18, 2015

Mchezaji wa Manchester City  Samir Nasri akipongezwa na wenzake akiwemo  Yaya Toure alipoifungia bao dakika za mwishoni dakika ya 86 leo hii huko Australia kwenye mechi ya Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016 Ushindi! Nasri akipongezwa Nahodha wa City  Vincent Kompany akipambana kwenye mpira wa Kona leo dhidi ya Melbourne City ya huko Australia. Yaya Toure akipambana...
Yanga SC wanafungua dimba na Gor Mahia ya Kenya leo Kombe la Kagame RATIBA KOMBE LA KAGAME 2015 Julai 18, 2015 KMKM vs Telecom            APR  Vs  Shandy                Yanga Vs Gor Mahia        Julai 19, 2015 LLB AFC Vs Hegaan FC   Adama City Vs Malaika Azam Vs KCCA  ...

waliotembelea blog