KOCHA wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesisitiza kuwa Real Madrid Leo wana ari kubwa kucheza na Wapinzani wao wa Jadi Atletico Madrid kwenye Dabi ya Jiji la Madrid Uwanjani Vicente Calderon na Staa wao Cristiano Ronaldo, ambae alizikosa Mechi 2 baada ya kuwa Kifungoni, ana moto mkubwa kucheza Mechi hii.Hivi sasa Real Madrid wanaongoza La Liga wakiwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili Barcelona na...