Friday, September 18, 2015

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Jumamosi Septemba 19 14:45 Chelsea vs Arsenal 17:00 Aston Villa vs West Brom 17:00 Bournemouth vs Sunderland 17:00 Newcastle vs Watford 17:00 Stoke vs Leicester 17:00 Swansea vs Everton 19:30 Man City vs West Ham Jumapili Septemba 20 15:30 Tottenham vs Crystal Palace 18:00 Southampton vs Man United 18:00 Liverpool vs Norwich Jose Mourinho v Arsene Wenger ...
FIFA imetangaza kuwa ile Hafla ya kumtangaza Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2015 ambae hutunukiwa Tuzo ya FIFA Ballon d’Or itafanyika Jumatatu Januari 11, 2016 huko Zurich Nchini Uswisi. Siku hiyo pia hutangazwa Mchezaji Bora kwa upande wa Kinamama pamoja na Kocha Bora kwa pande zote mbili za Wanaume na Wanawake. Pia, Goli Bora la Mwaka, ambalo hutunukiwa Tuzo ya Puskas, litajulikana...
Kufuatia safari ya vijana watano wa U15 Asaad Ali Juma, Maziku Aman, Issa Abdi, Kelvin Deogratias, Athumani Maulid waliokwenda kufanya mazoezi kwenye klabu ya Orlando Pirates kufuatia mwaliko uliotolewa na TFF na klabu hiyo, safari hiyo ilikamilika na vijana wamerejea nyumbani. Vijana hawa waliongozana na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi wakiwa Afrika...
Mchezaji wa timu ya Ilala Rukia Annaph (kushoto) akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi September 17. Temeke ilishinda 2-1 Mchezaji wa timu ya Ilala Tumaini Michael (Kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa...
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimian na ndugu wa Marehemu Cornel Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili,ambapo siku ya jumapili atawahutubia Wananchi...
KASEJA... Kipa Juma Kaseja, kesho anatarajia kuweka rekodi iwapo ataichezea Mbeya City. Mbeya City inatarajia kuchuka dimbani kwa “Mbeya derby” dhidi ya wapinzani wao wakubwa Prisons. Mechi hiyo inachezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kama Kaseja atakuwa langoni, atakuwa kwa mara nyingine anajumuika kwenye mechi ya watani nje ya Dar es Salaam. Kaseja ni...
Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Florentino Perez ambaye amezoeleka kuingia katika headlines kwa masuala yake ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji ambao klabu yake inawahitaji, huenda umezoea kumsikia katika suala hilo, safari...
Teknolojia ya sasa inazidi kukua siku hadi siku, wataalamu wamekuwa wakibuni vitu mbalimbali duniani kwa lengo la kuleta ushindani. Katika piti pita zangu nimekutana na hizi hoteli ambazo zimeingia kwenye maajabu ya duniani kutokana na ubunifu wake… 1 – Montaña Mágica Lodge...

waliotembelea blog