Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akisalimian na ndugu wa Marehemu Cornel
Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt
Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea
nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili,ambapo siku ya
jumapili atawahutubia Wananchi mjini humo na kisha kuanza ziara yake
mkoani Kagera.
Marehemu Cornel Pastory enzi za uhai wake
Dk
Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake
wa darasa la kwanza shule ya Msingi Chato, marehemu, Cornel Pastory.
Dk
Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la
kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
Dk
Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la
kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyakanazi waliokuwa wamefunga
barabara wakitaka wamuone na kumsalimia sambamba na kumueleza matatizo
yao ili aweze kuyatatua iwapo atapewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania
katika awamu ya tano
Wananchi wa Nyakanazi wakimsikiliza Dkt Magufuli kwa makini
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera leo.
Baadhi
ya wafuasi wa chama cha CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt
Magufuli alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Biharamulo mjini mkoani
Kagera.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Biharamulo ili
wampigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka hu.
Wananchi
wa Biharamulo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini humo jioni ya leo
Wakazi
wa Biharamulo wakishangilia mara baada ya kusikiliza sera za Dkt
Magufuli mapema leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika
katika uwanja wa CCM mjini humo .
0 maoni:
Post a Comment