Bao
za Kipindi cha Pili za Jesse Lingard na Juan Mata Leo zimewapa
Manchester United ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na West Bromwich Albion
kwenye Mechi ya Ligi Kuu England Uwanjani Old Trafford. Mapema
Kipindi cha Pili, Lingard, mwenye Miaka 22, aliifungia Man United Bao
la Kwanza kwa shuti la kupinda na Juan Mata kuongeza Bao la Pili katika
Dakika za Majeruhi kwa Penati baada ya Anthony...