Monday, January 6, 2014

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu. Mmoja wa kijana aliyekamatwa na askari baada ya kuleta fujo eneo la mahakama. Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo wananchi eneo la Mahakama Kuu. Wafuasi wa Zitto Kabwe. Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwahutubia wananchi waliofika...

waliotembelea blog