Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim
Lipumba akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wafuasi wa chama
hicho waliojitokeza katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar
es salaam,na kuwaambia kuwa CUF ni Taasisi,hivyo wanachama wote wanatakiwa
kukijenga chama hicho wawe na vyeo ama wasiwe na vyeo kazi kubwa ni
kukijenga chama cha CUF,Pro Lipumba aliyasema...
Wednesday, August 5, 2015



Timu
ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia
kambini kesho kisiwani Zanzibar kujiandaa na Fainali za Michezo ya
Afrika (All Africa Games) zitakazofayika mwezi Septemba mwaka huu nchini
Congo Brazzavile.
Kikosi hicho cha wachezaji 25 chini
ya Kocha Mkuu Rogasian Kaijage, tayari kimeanza mazoezi kujiandaa na
michuano hiyo ambapo Tanzania ilikata tiketi ya...


Kiungo raia wa Argentina Javier Mascherano ameteuliwa kuwa nahodha wa
nne kwenye klabu ya Barcelona akiongeza idadi ya manahodha ambayo
ilikuwa imebakia manahodha watatu baada ya kuondoka kwa Xavi Hernandez.
Kuondoka kwa Xavi Hernandez kumefungua nafasi moja ya unahodha baada
ya kupandishwa kwa Andres Iniesta ambaye amekuwa nahodha wa kikosi cha
kwanza huku Lionel Messi akiwa nahodha wa pili...


Wachezaji mpira ni miongoni mwa watu
maarufu sana kutokana na kazi yao kupendwa au kuwa na mashabiki wengi
kutoka sehemu mbalimbali, miongoni mwa vitu ambavyo huwezi kuvidhania
kama unaweza kuviona kwa mastaa wako wa soka ambao umezoea kuwaona
wakiwa katika muonekano uliozoeleka kuonekana labda wakiwa katika mechi
au matukio ya kawaida.
Katika pitapita zangu...
Subscribe to:
Posts (Atom)