
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi
wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili
baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi hao na
mabalozi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 17,
2015. Mabalozi walishinda kwa mikwaju ya penati 3-2 na kutwaa kombe.
Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya...