Friday, October 11, 2013

  SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kubadili sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo inaruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 15 badala yake iruhusu umri wa kuolewa uanzie miaka 18.Aidha imeeleza kuwa ndoa za utotoni kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikirudisha nyuma maendeleo ya watoto wa kike, kutokana na wengi wao kuachishwa shule na kuozeshwa. Hayo yameelezwa jana jijini Dar...
MOJA YA KIBANDA CHA MAMA NTILIE KIKIWA KIMEBOMOLEWA BATI ZINONESHA HATA HANA MUDA MREFU TOKA ZIEZEKWE MMILIKI WA MGAHAWA AKIELEZEA KUWA WALIAMBIWA NA BIBI AFYA KUWA WAEZEKE MABATI NA SI MATURUBAI CHAKUSHANGAZA HATA BATI LAKE JIPYA LIMENG'OLEWA HATA WALIPOOMBA WATOE KISTAARABU HAKURUHUSIWA MAWAZO TELE; CHAKULA HAKIJAISHA, FAMILIA NITAILEAJE NA MAISHA YATAENDESHWAJE SASA...! HIFADHI...
Mkali ambae mwaka jana alidondoka kwenye Fiesta mkali Rick Ross ametangaza tarehe ya kuachia album yyake mpya inakuja inayoitwa “Mastermind”. Albam hiyo yam kali kutoka kampuni ya M.M.G The Bawse Rozay amesema albam hiyo ya “Mastermind” itatoka December 17 mwaka huu wa 2013. Albam ya Rick Ross “Mastermind” inafuata baada ya ile albam yake iliyofanya vizuri ya “God Forgives I Don’t” ambayo ilitoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. JAKAYA KIKWETE amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhahakisha kuwa shule zote za sekondari za kata, zahanati na vituo vyote vya afya nchini vinawekewa umeme haraka iwezekanavyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeeleza kuwa Rais KIKWETE amesema kwa maeneo yenye umeme wa...
  Kupitia account yake ya Instagram msanii mkali wa bongo fleva anayeteka mabinti wengi mjini hapa amewaonyesha mashabiki wake gari yake mpya aliyoinunua. Gari hii ya Nissan ingawa sikuweza kujua kwa haraka haraka ni Nissan gani ameonekana akifurahia manufaa ya kazi zake anazozifanya kupitia jukwaani na aina ya maandishi anayoyaandika ili tu kujipatia ridhiki. Mbali ya hili...
...
Kampuni ya Ndege ya Fastjet imedaiwa kukiuka agizo la Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) ya kutakiwa kukutana na mfanyabiashara Majaliwa Mbasa kumaliza mgogoro uliopo kufuatia kampuni hiyo kushindwa kumsafirisha kutoka Dar es Salaam kwenda Johannesburg, Afrika Kusini. Kwa mujibu wa barua ya TCCAA yenye kumbukumbu namba TCAA/0.10/350/139 iliyoandikwa Oktoba 2 mwaka huu na kusainiwa na James Mabala...
Wengi walioipata hii taarifa wanashangaa imekuaje ni viungo tu vya binadamu vimepatikana kwenye kontena zima vikiwa vinaingizwa Kenya? vinakwenda wapi? kazi yake ni nini? Taarifa iliyoripotiwa na Citizen TV Kenya inasema Shehena hii iliyokamatwa baada ya kupitishwa kwenye bandari ya Mombasa inasemekana...
  *Asema uamuzi wake haukushirikisha wizara nyingine*Adai wadau walipaswa kupewa muda zaidi, aonya rushwa WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemuonya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kwa mara nyingine tena kuacha tabia ya kufanya uamuzi wa jambo lolote bila kushirikisha pande zinazohusika.Mbali ya karipio hilo, Waziri Mkuu amewataka viongozi wengine wa Serikali, kuepuka mfumo usio shirikishi...
Mr. President, the faculty, staff, students, invited guests and the public at large. Allow me to express my gratitude, for the cordial welcome at your lovely campus. It is one of a kind, and If I could, I would have stayed much longer to learn more on your success that I could take back to our young people. The environment and the surroundings are as beautiful as the people...
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Gilberto Sebregondi ambaye aliongoza ujumbe wa Mabalozi wa Jumuiya ya Nchi za Ulaya katika ziara yao leo Oktoba 10, 2013 Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam ili kujionea namna ambavyo Jeshi la Magereza linazingatia kikamilifu masuala ya Haki za Binadamu na Utawala...

waliotembelea blog