Saturday, August 16, 2014

KIUNGO wa Argentina Javier Mascherano amekubali kusaini Mkataba mpya na Klabu yake Barcelona utakaomweka huko Nou Camp hadi Mwaka 2018. Habari hizi zimetangazwa na Klabu ya Barcelona hii Leo na pia wamethibitisha Mchezaji huyo amesharudi Mazoezini baada ya kupewa muda zaidi wa kupumzika kufuatia Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil ambapo Argentina ilifungwa 1-0 na Germany kwenye Fainali...
LIGI kuu soka nchini England siku zote haina adabu kabisa!. Kocha mpya wa Manchester United , Mholanzi, Louis van Gaal amekaribishwa na kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu dhidi ya Swansea City ndani ya dimba la Old Trafford. Hii ni mara ya kwanza kwa Man United kupoteza mechi ya ufunguzi wa msimu katika uwanja wake wa Old Trafford. Swansea City walikuwa wa kwanza...
  Msanii wa kundi kijulikanacho kama International, Moses Nyama akiwaongoza wenzake wakati wa onyesho la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika jana jioni Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Tamasha hilo linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia bia yake ya  Serengeti Premium Lager.   Msanii wa bongo fleva, Omary Nyembo ‘Ommy...
  Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya  kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.  Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili...
Jumamosi Agosti 16 14:45 Man United v Swansea [Old Trafford] 17:00 Leicester v Everton [King Power Stadium] 17:00 QPR v Hull [Loftus Road Stadium] 17:00 Stoke v Aston Villa [Britannia Stadium] 17:00 West Brom v Sunderland [The Hawthorns] 17:00 West Ham v Spurs [Boleyn Ground] 19:30 Arsenal v Crystal Palace [Emirates Stadium] Jumapili Agosti 17 15:30 Liverpool v Southampton [Anfield] 18:00 Newcastle v Man City [St. James' Park] Jumatatu Agosti 18 22:00 Burnley v Chelsea [Turf Mo...

waliotembelea blog