Monday, September 22, 2014

Steven Gerrard alionekana mweny huzuni baada ya kuchapwa 3-1 na West Ham  BRENDAN Rodgers ametetea kiwango cha Steven Gerrard, akisisitza kuwa nahodha huyo mkongwe wa Liverpool hahitaji kupumzika zaidi. Gerrard mwenye miaka 34, amecheza kila dakika msimu huu, zikiwemo mechi tatu katika wiki na kushuhudia Liverpool akipoteza michezo miwili ya ligi kuu mbele ya  Aston...
Mathieu Debuchy atakuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitatu baada ya kufanyiwa operesheni ya Enka yake. Debuchy, mwenye Miaka 29, aliumia na kutolewa nje kwa Machela Arsenal walipocheza na Manchester City na kutoka Sare 2-2 hapo Septemba 13. Akithibitisha habari hizi, Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, amesema operesheni ya Mchezaji huyo wa Kimataifa wa France ilienda vyema lakini kuwepo nje...
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Stamina na Ney wa Mitego wakilishambulia jukwaa mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Morogoro mapema jana ndani ya uwanja wa Jamhuri. Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee a.k.a V-Money akitumbuiza mashabiki waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye Tamasha la Fiesta 2014. Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia...
Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo  Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa...
Leicester City wameifunga Manchester United bao 5-3 kwenye uwanja wao wa nyumbani King PowerRobin Van Persie na Di Maria ndio wameifungia bao United kipindi cha kwanza..Di Maria akishangilia bao lake la pili kwa United ugenini huko King PowerKipindi cha kwanza dakika ya 13 Robin Van Persie anaipachikia bao la kichwa Manchester United baada ya kuunganisha krosi safi kama kona kutoka kwa Radame...
Frank Lampard alikataa kushangilia baada ya kuisawazishia bao Manchester City dhidi ya klabu yake Chelsea aliyoitumikia karibu miaka 13.Lamapard akipongezwa na  David Silva pamoja na  Jesus Navas, a,bapo swala la kushangilia kawaachia wenzake!Lampard akitupia na kufunga bao usawa wa penatiAndre Schurrle akishangilia bao lake kwa Chelsea kipindi cha pili kwenye uwanja wa  Etihad...
5 Jose Mourinho anasema mapenzi ya Frank Lampard kwa Chelsea yalikwisha baada ya kujiunga na washindani wake JOSE  Mourinho amesema mapenzi ya Frank Lampard kwa Chelsea yamekwisha baada ya jana kuifungia Manchester City bao la kusawazisha katika dakika za majeruhi uwanja wa Etihad. Nyota huyo mwenye rekodi ya kufunga mabao mengi kwa muda wote Chelsea, alitokea benchi na kuiadhibu...

waliotembelea blog