Sunday, December 29, 2013

Baada kutokuwa na mtu anayeeleweka kwa jamii kuwa ndio mpenzi wake rasmi, Mwanamuziki nguri na judge katika shindano maarufu hapa Africa la Tusker project fame, Juliana Kanyomozi hatimaye amemmweka wazi mpenzi wake mpya ambaye ni mganda aishie Africa kusini, King Lawrence, Lawrence ni tajiri mkubwa na mfanya biashara maarufu nchini Uganda......Thatz it Best wishes Juliana na King Lawrence Juliana...
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na...

waliotembelea blog