Siku zote sitoacha kumshukuru Mungu kwa kila hatua
ninayopiga katika
safari yangu ya Music,na sitokutendea
haki nisiporudisha shukrani za
dhati
kwa wewe shabiki yangu wa kweli unae
endele kunipa sapoti
inayonifanya nizdi kukaza
kukutengenezea mambo mazuri zaidi..hii ikiwa
ni ziara
yangu mhimu kabisa nchini Naija,kwa ajili ya kupika kile
unachkisubilia kwa hamu,my number one remix na
mwanangu Davido,hii
ilikuwa ni jana usiku
tukiwa studio,hii ni studio ya Davido iliyopo
nyumbani
kwake na kkubwa tulichokuwa tunakifanya ni kumalizia kabisa
audio kabla ya kuingia mzigoni kushoot kideo.......
Davido nyuma ya screen akifanya mambo yake kwa umakini kabisa.....!!! |
Team yote hii ni kuhakikisha kila kitu
kinaenda sawa kabisa..Babu tale kwa mbali mwenyewe kamechishaa.....!!!
When Skelewu meet Ngololo..stay tuned..we coming baby..WCB for life huny |
0 maoni:
Post a Comment