Gari namba T606 BJB lilolokuwa
linaelekea Ifunda kutoka stand kuu ya Iringa limepata ajali ya kuligonga
Lori namba T 234 CLU Mali ya T.H Clements & Son LTD eneo la
Kitwiru, wakati Dereva wake alipojaribu kulipita Lori hilo bila
mafanikio watu watatu wamejeruhiwa.
Picha na Said Ng'amilo.(HD)
Picha na Said Ng'amilo.(HD)
0 maoni:
Post a Comment