Friday, August 22, 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.PICHA KWA HISANI YA MICHUZIBLOG Mwanalibeneke...
Kikundi cha Platinum Dancers kikionyesha umahiri wao wakati wa shindano la kumsaka mshindi wa dansi la Serengeti fiesta, lililofanyika katika Ukumbi wa Klabu Lavida , mjini Tanga leo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya tamasha la Serengeti fiesta linalotarajiwa kufanyika kesho jumamosi Agosti 23 kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini humo. Majaji wa shindano la kumsaka...
   Kocha Jose Mourinho akizungumza na Waandishi wa habari na akisema kuwa tayari wapo tayari na wako fiti kuikabiri Leicester. Eden Hazards na Filipe Luis wakikabana leo kwenye mazoezi yao ya mwisho Stamford Bridge tayari kwa kuikaribisha timu iliyopanda Daraja msimu huu LeicesterJon Obi Mikel na Mohamed Salah kwenye mazoezi leo huku Viongozi pamoja na Meneja Jose akiwaangalia..Salah,...
LA LIGA RATIBA Mechi za Ufunguzi Jumamosi Agosti 23 20:00 Malaga CF v Athletic de Bilbao 22:00 Sevilla FC v Valencia 22:00 Granada CF v Deportivo La Coruna 2359 UD Almeria v RCD Espanyol   Jumapili Agosti 24 20:00 SD Eibar v Real Sociedad 22:00 FC Barcelona v Elche CF 22:00 Celta de Vigo v Getafe CF 23:59 Levante v Villarreal CF Jumatatu Agosti 25 21:00 Real Madrid CF v Cordoba 23:00...
  Kocha Msaidizi wa Tanzania XI, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ (kushoto) akizungumza na nyota wa zamani wa Real Madrid, Fernando Sanz Duran.   Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani). Wa kwanza kulia ni nyota mwingine wa Real Madrid, Christian Karembeu na katikati ni mratibu wa ziara ya wanasoka hao, Mkurugenzi wa Kampuni...
+3 Anakwenda Merseyside? Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel Eto'o anaweza kujiunga na Liverpool. MCAMEROON, Samuel Eto'o yuko tayari kukamilisha usajili wa ghafla kujiunga na Liverpool. Mario Balotelli aliwasili Merseyside jana kujaribu kukamilisha uhamisho wa paundi milioni 16 kujiunga Anfield, lakini kama dili litashindikana, nafasi yake itachukuliwa na Mcameroon. Inafahamika...
Na Baraka Mpenja NUSU fainali ya klabu bingwa Afrika Mashariki na kati, Kombe ka Kagame iliendelea jana mjini Kigali, nchini Rwanda na kupata klabu mbili za kucheza fainali na hatimaye kupatikana bingwa atayechukua kombe lililoachwa na Vital’O ya Burundi. Katika nusu fainali ya kwanza, El Merreikh ya Sudan ilitinga fainali baada ya kuifunga KCC ya Uganda kwa penalti 3-0. Mshindi alipatikana...
Dakikaya 37 kipindi cha kwanza Thomas Müller anaifungia bao la kwanza Bayern Munich kwa kufanya 1-0 dhidi ya Wolfsburg baada ya kazi nzuri ya Arjen Robben kwa kukatiza ndani ya box na kupiga chenga mabeki na kutoa pasi iliyoguzwa na Muller na kutinga nyavuni.Dakika 37 akishangilia bao lake1-0 Dakika ya 47 Arjen Robben aliwaipachikia bao la pili na kufanya 2-0 akipewa pasi na Robert Lewandowski. Ivica...
Mkurugenzi mtendaji wa Airtel Bwana Sunil Colasa akiongea na waandishi wa habari leo hii (hawapo pichani) akiwatangazia kuanza kutumika rasmi kwa huduma mpya ya kutuma na kupokea pesa kutoka kwenye mitandao mingine moja kwa moja kwenye akaunti  zao za Airtel money, (interoperability) huduma hii ni ya kwanza Duniani ambapo inaaminika kuwa itasaidia sana wateja wa Airtel Money...
‘Mimi na Yanga tulikua na makubaliano ya mkataba na hakuna ukweli kwamba Mshahara niliokua nalipwa Yanga ni mdogo, mshahara usingekua unatosha nisingekubali kusaini mkataba‘ ‘Ni kweli kuna mambo mengi hayapo sawa kati yangu na club yangu yaYanga ila ni mambo ya ndani ambayo nisingependa kuyazungumzia, ni mambo madogo ambayo nadhani yanaweza kuisha‘ ‘Hakuna ukweli kwamba mimi nakwenda...
Na Baraka Mpenja NUSU fainali ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati, kombe la Kagame inaanza kutimua vumbi leo mjini Kigali, Rwanda. Timu mbili pinzani za nchini Rwanda, Polisi na APR zitachuana vikali ili kupata timu moja ya kucheza fainali. Polisi walifuzu hatua hiyo kufuatia kuwatoa Atletico ya Burundi hatua ya robo fainali kwa penati 9-8. Mikwaju ya penalti ilitumika kuamua mshindi...
 LIGI kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 inatarajia kuanza kushika kasi septemba 20 mwaka huu kwa timu 14 kuwania ubingwa unaoshikiliwa na Azam fc.  Kanuni inasema kuwa ratiba ya ligi inatakiwa kuanikwa hadharani angalau mwezi mmoja kabla ya ligi kuanza, ingawa inaweza kutangazwa hata miezi miwili kabla kama inavyotokea ulaya. Waendeshaji wa ligi kwa maana ya Bodi ya ligi...

waliotembelea blog