Dakikaya
37 kipindi cha kwanza Thomas Müller anaifungia bao la kwanza Bayern
Munich kwa kufanya 1-0 dhidi ya Wolfsburg baada ya kazi nzuri ya Arjen
Robben kwa kukatiza ndani ya box na kupiga chenga mabeki na kutoa pasi
iliyoguzwa na Muller na
kutinga nyavuni.Dakika 37 akishangilia bao lake1-0
Dakika ya 47 Arjen Robben aliwaipachikia bao la pili na kufanya 2-0 akipewa pasi na Robert Lewandowski.
kutinga nyavuni.Dakika 37 akishangilia bao lake1-0
Dakika ya 47 Arjen Robben aliwaipachikia bao la pili na kufanya 2-0 akipewa pasi na Robert Lewandowski.
Ivica Olic wa Wolfsburg aliwapachikia
bao safi na kufanya 2-1 kipindi cha pili dakika ya 52 baada ya kupata
pasi kutoka kwa Vieirinha.
BUNDESLIGA
RATIBA/ MATOKEO
Mechi za Ufunguzi
Ijumaa Agosti 22
Bayern Munich 2 vs 1 VfL WolfsburgJumamosi Agosti 23
16:30 Hannover 96 vs Schalke 04
16:30 Hertha Berlin vs SV Werder Bremen
16:30 Eintracht Frankfurt vs SC Freiburg
16:30 FC Köln vs Hamburger SV
16:30 TSG Hoffenheim vs FC Augsburg
19:30 BV Borussia Dortmund v Bayer 04 Leverkusen
Jumapili Agosti 24
16:30 SC Paderborn 07 vs FSV Mainz 05
18:30 Borussia Mönchengladbach vs VfB Stuttgart
0 maoni:
Post a Comment