Kocha Msaidizi wa Tanzania XI, Jamhuri
Kihwelo ‘Julio’ (kushoto) akizungumza na nyota wa zamani wa Real Madrid,
Fernando Sanz Duran.
Kiungo
wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo akizungumza na waandishi wa habari
jana (hawapo pichani). Wa kwanza kulia ni nyota mwingine wa Real Madrid,
Christian Karembeu na katikati ni mratibu wa ziara ya wanasoka hao,
Mkurugenzi wa Kampuni ya TSN, Farough Baghozah.
0 maoni:
Post a Comment