Mshindi wa taji la Miss Temeke
2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa
ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku
huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni
Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema
Mollely.PICHA KWA HISANI YA MICHUZIBLOG
Mwanalibeneke Othman Michuzi
akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic 2014 Mrembo Lilian Loth
(9) kwa niaba ya Ankal,baada ya kuonekana ndie Mrembo pekee mwenye mvuto
wa picha katika shindano la Miss Temeke 2014,lililomalizika usiku huu
kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es salaam
Baadhi ya Warembo wa Miss Temeke
2014 wakiongozwa na Michuzi Blog Miss Photogenic,Lilian Loth wakiwa
kwenye picha ya pamoja kusubiria kutangazwa mshindi wa jumla wa shindano
hilo.
0 maoni:
Post a Comment