Wednesday, August 7, 2013

Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama kutokana na uwanja huo kulipuliwa, ameiambia millardayo.com kwamba imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni kwamba ni shambulio la bomu. Bado tunaendelea kuwa karibu na vyanzo ili kupata info zaidi lakini kwa sasa ni kwamba...
Reports are coming in through the Kenya Red Cross, the country’s foremost emergency response organization, that a major fire is raging at Jomo Kenyatta International Airport. Courtesy of twitter picture via this tweet: ‘FIRE reported at Jomo Kenyatta International Airport #Nairobi via #iVolunteer @decibyte ^PO’ this is the first available image of the raging inferno,...
Katibu mkuu wa Baraza la wazee Ibrahim Akilimali (katikati) akiongea na waandishi wa habari le makao makuu ya klabu, kushoto kwake ni mzee Bilal Chakupewa na kulia kwake ni mzee Jabir Katundu Uongozi wa klabu ya Young Africans umetangaza mkutano mkuu wa dharura wa wanachama wote utakaofanyika tarehe 18.08.2013 katika ukumbi wa PTA sabasaba eneo la mtoni jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi...
 Ni mwili wa marehemu Tumaini mzibua mitaro ya maji machafu kashai amekutwa kafariki katika mtaro wa kashai maeneo ya kiwanda cha pepsi zamani,chanzo cha kifo chake hakijafahamika                                               umati wa watu waliokuja kushuhudia tukio...
Usher and Jay-Z Illuminati/Kabbalah rapper, Jay-Z, is so very desperate for attention and money. So much so the unscrupulous rapper made an appearance in public wearing a blasphemous t-shirt said to feature Satan having sex with Jesus. People need to stop supporting this man. All he's doing is exposing you and your kids to toxic trash. Rapper Young Jeezy wearing the same sacrilegious...

waliotembelea blog