Wednesday, January 22, 2014

LEO Jumatano Usiku, Kundi D ndio litakamilisha Mechi za Makundi kwa Mechi za Burundi v Congo DR na Mauritania v Gabon huku Mauritania ikiwa tayari imetupwa nje na kuziacha Burundi, Congo Dr na Gabon kugombea Nafasi mbili za kwenda Robo Fainali. RATIBA Jumatano Januari 22 20:00 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium] 20:00 Mauritania...
Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri  kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki. Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka. David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae. Hizi ni ndiyo...
  Mwandishi Albert G Sengo wa http://gsengo.blogspot.com ameandika >>> Mahabusu mmoja aliyekuwa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la jirani na Mamlaka ya maji safi na Hifadhi ya Mazingira (MWAUWASA) jijini Mwanza alitoa vioja vya mwaka kwa kujaribu kutoroka kwa kujipaka...
NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 Young Africans 13 8 4 1 31 11 20 28 2 Azam FC 13 7 6 0 23 10 13 27 3 Mbeya City 13 7 6 0 20 11 9 27 4 Simba SC 13 6 6 1 26 13 13 24 5 Kagera Sugar 13 5 5 3 15 10 3 20 6 Mtibwa Sugar 13 5 5 3 19 17 2 20 7 Ruvu Shootings 13 4 5 4 15 15 0 17 8 Coastal Union 13 3 7 3 10 7 3 16 9 JKT...
Kasisi Monsignor Nunzio Scarano Kasisi mmoja mkuu nchini Italia, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kuhaulisha mamilioni ya dola au kujipatia pesa kwa njia haramu, kupitia kwa benki ya Vatican. Polisi wanasema kuwa Monsignor Nunzio Scarano,...

waliotembelea blog