MENEJA
wa Manchester United Louis Van Gaal anaamini ni muhimu kabisa wimbi la
ushindi kuendelea watakapocheza na Stoke City Uwanjani Old Trafford
Jumanne Usiku katika Mechi ya Ligi Kuu England.Licha ya kukabiliwa
na majeruhi kibao, Man United wapo Nafasi ya 4 kwenye Ligi baada ya
kupata ushindi Mechi 3 mfululizo dhidi ya Crystal Palace, Arsenal na
Hull City.Akiongea kwenye mahojiano kuhusu...