Klabu ya Chelsea ya Uingereza Jumamosi ya November 7 itasafiri kuifuata Klabu ya Stoke City kucheza mchezo wake wa wa Ligi Kuu Uingereza bila kuwa na kocha wao Jose Mourinho
ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa mchezo mmoja sambamba na faini ya
pound 40,000/= kwa kosa alilolifanya la kutoa lugha chafu kwa waamuzi
wa mechi ya Chelsea dhidi ya...