
Wayne Rooney ameibuka na kumpa sapoti
kubwa Meneja wake David Moyes na kuwalaumu Wachezaji wenzake wa
Manchester United kumwangusha Meneja wao huyo huku wakati huo huo
akisisitiza England itafuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia Mwakani
huko Brazil. Amesema: “Ni wazi Meneja yuko kwenye presha kidogo
lakini tunajua kama Timu ni sisi tuliomwangusha. Lazima tukusanye nguvu
pamoja na kuonyesha...