MENEJA
wa Chelsea Jose Mourinho atabakia kwenye kibarua chake kwa sasa licha
ya Jana kutandikwa 3-1 Uwanjani kwao Stamford Bridge na Liverpool kwenye
Mechi ya Ligi Kuu England ikiwa ni ni kipigo chao cha 6 katika Mechi 11
za Ligi hiyo Msimu huu. Chelsea, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa
Ligi Kuu England, wapo Nafasi ya 15 kwenye Msimamo wa Ligi wakiwa Pointi
14 nyuma ya Vinara Man City....