Tuesday, December 22, 2015

HUKU kukiwa na tetesi kuwa Mtendaji Mkuu wa Manchester United Ed Woodward amekuwa na Kikao mahsusi cha kujadili hatima ya Meneja wao Louis van Gaal kwenye Ofisi yao ndogo Jijini London na pia Sir Alex Ferguson kudaiwa kuombwa ushauri wa nini kifanyike, zipo habari nzito kuwa Klabu hiyo itafanya uamuzi mgumu muda si mrefu. Zipo habari zinazodai kuwa Louis van Gaal atapewa Mechi 2 zijazo kurekebisha...
MENEJA wa Arsenal Arsene Wenger amedai ushindi wao dhidi ya Man City ambayo ni moja ya Timu inayotegemewa kutwaa Ubingwa wa England umewapa imani kubwa ya kuwa Mabingwa. Arsenal hawajatwaa Ubingwa tangu 2004 lakini Jana Uwanjani kwao Emirates Bao za Theo Walcott na Olivier Giroud za Kipindi cha Kwanza ziliwapa ushindi licha ya City kupata Bao mwishoni kupitia Yaya Toure na kutishia kuigeuza...
LIGI KUU ENGLAND Usiku huu imemalizia Raundi ya Mechi zake za 17 kuelekea zile Mechi mfululizo za mwishoni mwa Mwaka kwa mtanange uliochezwa Emirates Jijini London wa Timu ambazo hasa ndizo zinapewa nafasi za kutwaa Ubingwa kwa Arsenal kuifunga Manchester City Bao 2-1. Dakika 90 zimekamili 2-1 Arsenal waibuka kidedea...2-0 Ushindi...
Diamond Platnumz akiwasalimia mashabiki wake waliofurika katika eneo la Karume leo kwenye mkutano na wanahabari kuhusu shoo yake itakayofanyika Dar Live kwenye Sikukuu ya Krismasi. Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda sambamba na mashabiki waliofurika Karume leo. Mashabiki wakiwa wamepagawa wakati Diamond akiimba wimbo wake mpya wa Utanipenda. Meneja Masoko...
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha Wanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha. Washabiki wa bendi ya Fm Academia wakiwa wanacheza nyimbo ya heshima kwa wanawake iliyokuwa...
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz. UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali katika Gazeti la Uwazi kesho Jumanne pamoja na Risasi Mchanganyiko siku ya Jumatano.   Jinsi ya kushiriki, nunua gazeti lako la Uwazi au Risasi Mchanganyiko kisha jibu maswali kiufasaha ndani ya...

waliotembelea blog