Sunday, November 1, 2015

Pongezi!Mabingwa Watetezi Chelsea leo hii wamefungwa Bao 3-1 wakiwa kwao Stamford Bridge na Liverpool na kuzidisha presha kwa Meneja wao Jose Mourinho. Nascimento Ramires aliipa Chelsea Bao la Kwanza katika Dakika ya 4 baada ya kuunganisha Krosi ya Cesar Azpilicueta. Dakika ya 48 Liverpool walisawazisha kwa Bao la Philippe Coutinho aliepokea pasi ya Roberto Firmino na kuachia kigongo cha...
Kwa sasa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho anahusishwa na kutaka kufutwa kazi endapo tu atapoteza mchezo dhidi ya Liverpool licha ya kuwa taarifa hizo sio rasmi. October 30 mtandao wa mirror.co.uk uliripoti kuwa klabu ya Real Madrid ya Hispania inamuhitaji...

waliotembelea blog