Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na bunduki,
wamefunga mtaa na kupora fedha na simu za kiganjani katika maduka 11
eneo la Mvumoni Madale, kata ya Wazo na Tegeta Kibaoni, Manispaa ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.Mashuhuda wa tukio hilo, wakizungumza jana na NIPASHE, walisema tukio hilo lilitokea juzi Jumapili, majira ya saa 1:30 usiku.Hata
hivyo, kumekuwa na taarifa...
Tuesday, September 3, 2013



SIKU chache baada ya tukio la wizi mkubwa wa fedha katika Benki ya
Habibu mjini Dar es Salaam, siri nzito zimeanza kuvuja kuwa polisi
wanadaiwa kuhusika katika tukio hilo kwa kuhujumu kamera za usalama za
CCTV zinazomilikiwa na jeshi hilo.
Katika tukio hilo, watu wanaodaiwa
kuwa majambazi walipora dola za Marekani 20,000 ambazo ni sawa na Sh
milioni 32 za Tanzania.
Katika...



MJADALA wa Bunge jana jioni ulitawaliwa na kauli nzito baada ya
wabunge kadhaa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutuhumiana kuhusika na
ubadhirifu katika vyama vya ushirika nchini.
Hoja hiyo iliibuka wakati Bunge likijadili muswada wa sheria ya vyama
vya ushirika wa mwaka 2013 uliowasilishwa na Waziri wa Kilimo, Chakula
na Ushirika, Balozi Christopher Chiza.
Aliyekuwa wa kwanza kuwasha...


Mkuu wa mkoa wa kagera akiongea na
wageni waalikwa katika ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza nguo
Endeavour group ltd kilichopo kata ya kibeta bukoba manispaa,mkuu wa
mkoa amewataka wahaya wote wenye uwezo wa kuwekeza waje waitengeneze
bukoba sasa,kanal massawe amesema duniani kote ukienda utamkuta muhaya,
na wanauwezo mkubwa,sasa umefika wakati wa kuwekeza nyumbani,amewataka
wawe...
Subscribe to:
Posts (Atom)