KATIKA ulimwengu wa mastaa wa Kibongo, kuna vijimambo kibao mojawapo ni
wale wa kike kujiingiza kwenye mapenzi na kudanganywa kilaini kisha
kushiriki mchezo wa kikubwa bila usalama (kinga).Matokeo yake ni kuzalishwa na kuachwa solemba na sasa wanalea watoto
wao wenyewe bila baba zao. Unajua sababu? Ni ileile, yaani kupenda
maisha ya ghali wakati hawana uwezo hivyo kujikuta wakijinasua kwa...
Wednesday, September 11, 2013


Baada
ya miaka miwili ya mipango na
ujenzi, hatimaye jumba la kifahari la
mcheza
kikapu mwenye mafanikio na jina
kubwa kutoka marekani, Michael Jordan
limekamilika. Mansion
hiyo iliyojengwa South Florida
imekamilika ikiwa na thamani
ya dola za kimarekani 12.4 milioni.
Ona picha zaidi za Mansion hiyo:
Michael...


Farid Kubanda alias Fid Q aka Ngosha The Don, he’s a real Hip Hop
super star hapa Bongo baada ya mangoma yake kibao ku-bang kwa hewa.
Fid Q decided kuanzisha darasa la Hip Hop kwa lengo la kuwapa skillz wasanii katika utungaji pamoja na kufokafoka.
Lakini wakati Kubanda akiwa kwenye mission yake mwenye nyumba aliamua
kumpiga bonge la boot na kumwonyesha mlango wa kutokea fastafasta.
Kweli...


Mwanadada anayefanya vizuri sana kwenye muziki na filamu,baby
Madaha amelamba bingo ya uhakika na kampuni ya Candy n’ Candy Records
Label ya jijini Nairobi iliyomsainisha mkataba msanii mwingine wa
Tanzania Mr.Nice hivi karibuni.
Akizungumza kwa simu na bongomovies leo meneja wa msanii huyo
Joe Kariuki amesema kuwa pamoja na msanii huyo kupewa mkataba huo wa
million hamsini...



Mkurugenzi
wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', ambaye pia ni Mjumbe wa Nec
CCM, Asha Baraka, akiwaka wakati akizungumza na mtandao huu jana jioni
alipokuwa akisimamia zoezi la kuwazuia wabomoaji kutobomoa nyumba na
vibanda vya wananchi katika eneo hilo la Hanansifu bila kufikia muafaka
kwa mazungumzo na wahusika.
Zoezi
hilo la kubomoa eneo hilo ili kujengwa barabara...
Subscribe to:
Posts (Atom)