Mabondia
Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika
katika ukumbi wa P.T.A sabasaba . PICHA NA SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana
misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya
May 30 utakaofanyika katika ukumbi...
Friday, May 29, 2015


Sepp
Blatter ametetea vyema kiti chake cha Urais wa FIFA kwa mara ya 5 baada
ya kushinda Uchaguzi uliofanyika Leo huko Uswisi baada ya Mpinzani wake
kutoka Jordan kusalimu amri katika Raundi ya pili ya Kura. Ushindi
huu wa Blatter umekuja baada ya kugubikwa na Kashfa ya Rushwa
iliyotokana na hatua ya Marekani kufungua Mashitaka kwa Maafisa wa FIFA
kwa tuhuma za rushwa Siku moja tu kabla...



Jumamosi
Mei 30, Uwanjani Wembley, Jijini London kuanzia Saa 1 na Nusu Usiku,
Arsenal na Aston Villa zitagombea FA CUP kwenye Fainali na tayari
vijembe vishaanza kutembea. Mchezaji wa Aston Villa, Ashley
Westwood, ameonya kuwa Wachezaji wa Arsenal hivi sasa hawapati usingizi
kwa kumwota Straika hatari wa Villa Christian Benteke. Benteke
ni Straika wa Ubelgiji mwenye Miaka 24 na ameshapiga...



Dkt
Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza
hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo
kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini. Jezi maalumu kwa ajili ya timu zilizo fuzu hatua ya robo fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.
...


Wachezaji wa Arsenal akiwemo Robert Pires wajifanya mazoezi yao tayari
kwa Fainali ya kesho jumamosi dhidi ya Aston Villa kwenye FA Cup
Walcott anataraja kufanya vyema zaidi ya Olivier Giroud Wembley baada ya kupiga hat-trick dhidi ya West Bromwiki iliyopita.
Mesut Ozil akimiliki mpira
Meneja Arsene Wenger akimcheki kijana wake Alexis Sanchez wakati wa mazoezi huko London...


Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na Mkewe Mama Asha Bilal, wakiteremka kwenye Ndege walipowasili
Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya
kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais Mohammadu Buhari iliyofanyika leo
May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar mjini Abuja Nigeria.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)