Saturday, November 23, 2013

TP Mazembe tayati imetua mjini Tunis, Tunisia kwa ajili ya Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Sfaxien kesho ikiwa na washambuliaji wawili wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu. Ulimwengu na Samatta waliicheza Tanzania, Taifa Stars Jumanne mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe ulioisha kwa sare ya bila kufungana Uwanja wa...
WAKATI Manchester United inashinda mataji na heshima binafsi za wachezaji wanakuwepo pia. Na mambo hayakuwa tofauti Uwanja wa Old Trafford siku ya Alhamisi usiku baada ya wachezaji na viongozi kuitikitia wito wa chakula cha usiku cha UNICEF. Suited and booted: Manchester United players, including (from left to right) Ashley Young, Rio Ferdinand, Anderson, Wilfried Zaha and Shinji...
Wanamuziki kutoka Nigeria, Paul Okoye wa kwanza kulia, akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu tamasha watakalolifanya kesho Jumamosi. Novemba 23 katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Peter Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P Square, wakiwa na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twisa ambao ni wadhamini wa wasanii...
Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.    Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao. Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea. Vijana...
Ikiwa imebaki siku moja tu kabla ya show ya kihistoria inayosubiriwa na wengi kufanyika ndani ya viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam, tayari jukwaa litakalotumiwa na wasanii wanne kutoka hapa nyumbani na wale wakali wa kulishambulia jukwaa barani Afrika P~Square lipo katika maandalizi ya mwisho mwisho pamoja na kufunga mziki. Jukwaa lina sehemu tatu za kupandia...
Kundi la P-Square la nchini Nigeria ambalo huundwa na mapacha Peter na Paul Okoye, leo limekutana na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam kuzungumzia show yake ya Jumamosi hii Leaders Club. . P-Square wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasanii...

waliotembelea blog