Kundi la P-Square la nchini Nigeria ambalo huundwa na mapacha Peter
na Paul Okoye, leo limekutana na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa
mikutano uliopo katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam kuzungumzia show yake ya Jumamosi hii Leaders Club.
RSS Feed
Twitter
3:47 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment