Jumamosi Uwanjani Wembley itachezwa Nusu Fainali ya Kombe kubwa na kongwe ya FA CUP kati ya Reading na Arsenal kuanzia Saa 1 na Dakika 20 Usiku kwa Saa za Bongo na Dakika 10 baadae huko Stamford Bridge itaanza Bigi Mechi ya Ligi Kuu England kati ya Chelsea na Manchester United.
Akiongelea kuhusu mgongano huo, Arsene Wenger, Meneja wa Arsenal, ameponda uamuzi wa kuzigonganisha Nusu Fainali ya FA CUP na Mechi kubwa ya Ligi.
Amesema: "Lazima wangefanya uamuzi. Hili halipaswi kutokea katika Nchi moja. Kombe kubwa la FA CUP linagonganishwa na Mechi kubwa ya Ligi!"
Kocha
Arsene Wengerakiwacheki Vijana wake kwenye Mazoezi wakijiandaa dhidi ya
Timu ya Reading kesho jumamosi usiku saa 1 na dakika 20.
Alexies Sanchez
Kipa wa Arsenal Wojciech Szszesny

Laurent na Santi Cazorla
Jack Whilshere
Sant Cazorla
RSS Feed
Twitter
7:57 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment