Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho, amekanusha habari hizo. Katika
Msimu wake wa kwanza na Chelsea ambao ulimalizika Majuzi, Costa alipiga
Bao 20 za Ligi Kuu England na kuiwezesha Klabu hiyo kutwaa Ubingwa. Costa,
ambae alijiunga na Chelsea mwanzoni mwa Msimu huu uliokwisha kwa Dau la
Euro Milioni 40,...
Tuesday, June 2, 2015


Klabu
ya Manchester United inaamini iko katika nafasi nzuri ya kumsajili Dani
Alves kutoka Barcelona iwapo kocha Louis Van Gaal anataka kumsajili
beki huyo wa kulia.Alves atakuwa hana mkataba mwishoni mwa msimu huu
na Barcelona iko tayari kumwachilia beki huyo wa miaka 32 kuondoka
baada ya mechi ya fainali ya vilabu bingwa Ulaya dhidi ya Juventus siku
ya jumamosi mjini Berlin.Klabu ya...


Sepp Blatter, ambae alikuwa Rais wa FIFA kwa Miaka 17, ametangaza kuwa atajiuzulu wadhifa wake. Uamuzi
huu unafuatia Shirikisho hilo la Soka Duniani kuandamwa na kashfa ya
rushwa ambayo ilipamba moto baada ya Marekani kufungua Mashitaka kwa
Maafisa kadhaa wa juu wa FIFA. Blatter amesema ataitisha haraka
iwezekanavyo Kongresi ya FIFA ili kuchagua Rais mpya baada ya yeye
kukiri hana sapoti...


MWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWELI NTAMBALA LWANGISA WAPOKELEWA BUKOBA, MAJONZI YATANDA KWA WANABUKOBA.
Gari
maalum kutoka Nchini Uganda lililobeba Mwili wa Mzee Samwel Ntambala
Lwangisa ukiingia Bukoba. Picha na Innocent Rwezaula/Bukoba
Mwili wa Marehemu Samuel Ntambala
Luangisa uliwasili usiku wa kumkia leo katika Manispaa ya Bukoba Mkoani
Kagera. Mauti yalimkuta akiwa Nchini Marekani na...
Subscribe to:
Posts (Atom)