Rais Roussef ametetea vikali maandalizi ya kombe la dunia Brazil
Rais wa Brazil Dilma Rousseff
ametetea jinsi ambavyo taifa lake limetayarisha Kombe la Dunia
litakaloanza juma lijalo jijini Sao Paulo.
...
Wednesday, June 4, 2014


Wachungaji wakiongoza ibada ya kumuaga marehemu Mweisigwa Blandesi
aliyekuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Oakland, California
iliyofanyika siku ya Jumamosi May 31, 2014 Oakland, California..
Balozi wa Heshima Bwn. Ahmed Issa akiongea machache jinsi gani
alivyokuwa anamfahamu marehemu kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wao
Mwesigwa Balnde iliyofanyika siku ya Jumamosi...



Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na viongozi wa Jumiya za Kitanzania
zilizopo Toronto, Canada siku ya Ijumaa May 30, 2014. Rais Dkt Jakaya
Kikwete alikuwa Canada wiki iliyopita kuhudhuria kikao cha “Improving
the Lives of Women and Children: Maternal, Newborn and Child Health “
Viongozi wa ZANCANA walipata fulsa ya kumweleza Mheshimiwa Rais Jumuiya
yao inavyojitahidi kusaidia nyumbani...


Smithsonian’s National Museum of African Art picha katika maadhimisho
ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa Museum hiyo iliopo Mjini
Washington, DC
National Museum of African Art siku ya Jumanne June 3, 2014
wamesherehekea maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa
Smithsonian’s National Museum of African Art, Mjini Washington, DC
Sharehe hizo zilianza...


Je unafahamu kuwa...Waamuzi
25 wa FIFA watachezesha mechi za Kombe la Dunia. Waamuzi hao wanatoka
katika mabara yote sita, na wote watachezesha angalau mechi isiyopungua
moja. Waamuzi hao na wasaidizi wao watakuwa wakifuatiliwa kwa karibu na
kupewa kila msaada wanaohitaji na FIFA ili waweze kuchezesha kwa haki.Afrika
kupitia CAF inawakilishwa na Noumandiez Doué...
Subscribe to:
Posts (Atom)