Smithsonian’s National Museum of African Art picha katika maadhimisho
ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa Museum hiyo iliopo Mjini
Washington, DC
National Museum of African Art siku ya Jumanne June 3, 2014
wamesherehekea maadhimisho ya kutimiaza miaka 50 tangu kufungiliwa kwa
Smithsonian’s National Museum of African Art, Mjini Washington, DC
Sharehe hizo zilianza rasmi mida ya Saa Nne Asubuhi na kumalizika saa
Kumi na Moja Jioni kukiwa na ngoma za kitamaduni zilizotumbuizwa na
kundi zima la Farafina Kan, pamoja na Ethiopian Coffee Ceremony, Henna
Paint pamoja na chakula cha Nando's Peri-Pari
Msimamizi wa NPR Show ''Tell me more'' Michel Martin akiendesha mazungumzo dhidi ya wawakilishi.
Aidha wawakilishi wa National Museum of African Art, walizungumzia
kuhusu historia ya kumbukumbu ya miaka 50 ya kuazishwa juu ya makumbusho
hayo.
Katika mazungumzo hayo mbayo yalikuwa chini ya msimamizi wa NPR Show
''Tell me more'' Michel Mc , Queen Martin, Dr Johnnetta Betsch Cole
(Directoct of National) Lady Putrecelli, Dr. Alan Brody (Warren
Robbins-Founder of Museum's Nephew) Pesident of the Center for Cross
Cultural Communications, Asif Shaik na Bryna Freyer Senior curator at
African Art.
0 maoni:
Post a Comment