Wednesday, February 11, 2015

Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya .Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo. KAMPUNI Ya simu...
Mario Balotelli akituma akituma salaam baada ya kuipatia ushindi Liverpool kwenye Uwanja wa nyumbani Anfield. Mtanange huo ukimalizika kwa bao 3-2 dhidi ya Spurs. Mtanange huo pia umeshuhudiwa na Mmiliki wa Klabu hiyo Bw. John Henry sambamba akiwa na mkewe Bi. Linda Pizzuti. Ushindi huu umewatuliza Liverpool nafasi ya 7 wakiwa na pointi 42 huku Spurs wakiwa juu yao nafasi ya 6 wakiwa...
Bao la pili lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 41 baada ya kumalizia mpira uliotemwa na kipa wa Leicester City. Andrej Kramaric aliipatia bao Leicester City kipindi cha pili dakika ya 61 na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa 2-1 Arsenal wakiibuka na ushindi. Ushindi huu wa Arsenal umemshusha Man United nafasi ya tano nao Gunners kushika nafasi ya nne kwa muda wakiwa na pointi zao...
Rais wa Ivory Coast  Alassane Ouattara na Nahodha wa  Ivory Coast  Yaya Toure jana Jumatatu Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ivory Coast wamefika kuwapokea mabingwa wa mataifa ya Afika Ivory Coast baada ya kuifunga Ghana kwa njia ya penati na kunyakua kombe hilo. Maelfu ya mashabiki walitanda mitaani ili kuwalaki wachezaji na viongozi kwa ushindi huo,Rais wa Ivory Coast...

waliotembelea blog