Wednesday, February 11, 2015

Mario Balotelli akituma akituma salaam baada ya kuipatia ushindi Liverpool kwenye Uwanja wa nyumbani Anfield. Mtanange huo ukimalizika kwa bao 3-2 dhidi ya Spurs. Mtanange huo pia umeshuhudiwa na Mmiliki wa Klabu hiyo Bw. John Henry sambamba akiwa na mkewe Bi. Linda Pizzuti. Ushindi huu umewatuliza Liverpool nafasi ya 7 wakiwa na pointi 42 huku Spurs wakiwa juu yao nafasi ya 6 wakiwa na pointi 43 wakipishana pointi 1 moja tu kwa sasa.Nyumba ikiungua ya Spurs!Mario Balotelli ndie kaipatia Ushindi Liverpool wa bao 3-2.Mario Balotelli aliingizwa kipindi cha pili dakika ya 74 kwa kuchukua nafasi ya Daniel Sturridge na kuipa bao la ushindi Liverpool dakika za mwishoni dakika ya 83 na kufanya Liverpool kuongoza kwa bao 3-2 dhidi ya Spurs katika mtanange uliochezwa kwa kasi na nguvu Uwanjani Anfield.3-2 Mario kamaliza mchezo!!!2-2 Dembélé alisawazisha dakika ya 61 kipindi cha pili.
2-1 Steven Gerrard aliongeza bao la pili kipindi cha pili dakika ya 53, Bao hilo halikuweza kudumu sana Spurs dakika ya 61 M. Dembélé alisawazisha bao hilo na kufanya 2-2Steven Gerrard akishangilia bao lake la pili kwa Liverpool
Mashabiki wa Spurs wakimpongeza Harry Kane baada ya kusawazisha bao kipindi cha kwanza dakika ya 261-1 Hadi mapumzikoHarry Kane dakika ya 26 kipindi cha kwanza hicho hicho aliisawazishia bao Spurs na kufanya 1-1 dhidi ya Wenyeji Liverpool.Lazar Markovic akishangilia bao lake.Akipongezwa!!!Lazar Markovic dakika ya 15 kipindi cha kwanza alitangulia kuziona nyavu za Spurs na kuwapatia bao Liverpool katika kipindi cha kwanza.Lazar Markovic opened the scoring for Liverpool against Tottenham with a low left-footed strike during the first half1-0VIKOSI:
Liverpool:
Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Markovic, Henderson, Gerrard, Moreno, Ibe, Coutinho, Sturridge.
Liverpool Akiba: Johnson, Lovren, Lambert, Lallana, Allen, Balotelli, Ward.
Tottenham Hotspur: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason, Lamela, Eriksen, Dembele, Kane.
Spurs Akiba: Paulinho, Soldado, Vorm, Townsend, Fazio, Chadli, Davies.
Mwamuzi: Phil Dowd
Sturridge kuanza kwa Liverpool

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog