STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu
Stori: Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amekiri kuwa huwa anatumia sigara ‘fegi’ ili kuondoa mawazo.
Wema alifunguka hayo juzikati kupitia
kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na Runinga ya East Africa
ambapo alikuwa akifungukia maisha yake likiwemo suala hilo la kuvuta
sigara.
“Huwa navuta sigara pindi ninapokuwa...
Saturday, October 19, 2013



TATIZO la ujangili ambalo limekuwa sugu nchini kwa muda mrefu sasa
linaanza kupata dawa, baada ya Serikali kutangaza ‘Operesheni Tokomeza’
itakayotumia mbinu za kijeshi.SOMA ZAIDI..........Katika operesheni hiyo
inayotekelezwa kwa awamu, ndege za kivita zisizokuwa na marubani
(Drones), zitatumika katika kufanikisha vita hiyo, iliyolenga kunusuru
wimbi la wanyama kuuawa.
Akizungumza...


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama
vifaru na silaha nyingine za kivita wakati alipotembelea banda la kunadi
silaha mbalimbali za kivita zinazotengenezwa na kampuni ya NORINCO nje
kidogo ya Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 18,
2013.
SOMA ZAIDI........
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza
baada ya kutembelea kampuni ya Aluminium Corporation of China ,...


Msanii wa HipHop mwenye mashahiri yenye maneno yanayolenga mastaa
tofauti tofauti nchini ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha
‘Salamu Zao’ Nay wa Mitego, ameingizwa kwenye vipengele viwili kwenye
tuzo zitakazofanyika nchini Kenya November 23 mwaka huu.
SOMA ZAIDI......
“Thnx kwa mashabiki na media zote zina nazo sapoti muziki wangu #966.
Nimeingia katika...



Mshambuliaji
wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki
wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa
marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool
na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma
maneno yake hapa......



MNENGUAJI wa kiume wa Mashujaa Band, Juma
Nyamwela (Nyamwela Jr) amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti
mtoto wa kiume wa umri wa miaka sita.Kwa sasa mnenguaji huyo yupo kituo cha polisi cha
Mabatini Kijitonyama jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya tatu tangu
akamatwe kwa tuhuma hizo.Habari za uhakika kutoka kituoni hapo...


Duniani
kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni huu mgahawa uitwao Rock
uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba mkubwa katika bahari
ya Hindi.
ANGALIA PICHA ZAIDI.........
Mgahawa
huo ulifunguliwa rasmi mwaka jana na kuna viti 45 ambapo wateja
huchukuliwa na boti maalum kutoka pwani hadi kupata huduma katika
mgahawa huo ili wasikanyage maji wakati wakiingia kwenye mgahawa...



Titica
Mwanamke huyu kwa jina akijulikana kama
Titica, amekuwa ni gumzo kubwa nchini Angola.
Siku chache zilizopita UNAIDS ilimpa heshima
mwanamke huyu aliyejibadili jinsia kuwa
Balozi wake.
Alizaliwa Luanda kama Teca Miguel Garcia,
akiwa muimbaji na mchezaji, Titica alibadili
maumbile yake miaka minne iliyopita mara
baaada...


Kukamatwa kwa washukiwa 11 wa al-Shabaab waliokuwa wakifanya mafunzo ya kijeshi katika mkoa wa Mtwara
mapema mwezi huu kumeibua wasiwasi miongoni mwa wachambuzi wa usalama
na maofisa kwamba kikundi hicho cha wanamgambo kinajaribu kudanganya
walalamikaji wa Tanzania katika jitihada za kupanua eneo lake la
ushawishi.
Picha ya skirini ya video ya lugha ya Kiswahili iliyotolewa na
Al-Kataib,...


MALALAMIKO JUU YA MENEJIMENTI YA CHUO CHA KUMBUKUMBUKU YA MWALIMU NYERERE
1. SHERIA YA UANZISHWAJI CHUO
Mh.
Waziri Mkuu, sheria iliyopo ya uanzishwaji wa chuo inamapungufu kadha,
ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho. Mapungufu hayo ni:
i. Sheria haitaji sifa za mkuu wa chuo aweje
ii. Sheria haitaji sifa za Makamu Mkuu wa Chuo
iii. Sheria haitaji sifa za Msajili wa Chuo
iv....
Subscribe to:
Posts (Atom)