Friday, July 12, 2013

msanni Prezzo wa Kenya  atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10. Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya, ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na...
Katika umri wa miaka 76 amekuwa jina linatamba na nyota wa kurasa za mbele za majarida. Lakini Papa Francis kwa sasa anapambana kwa nguvu zote kuepuka kuwa mtu maarufu - ameamuru kuondolewa kwa sanamu yake  kwenye kanisa kuu la mjini Buenos Aires.Tangu kusimikwa kwake waumini wamekuwa wakitembelea sanamu hiyo iliyoko katika bustani ya kanisa kutoa heshima kuu kwa baba mtakatifu huyo,...
  Mm ni kijana wa miaka 23 sasa nililelewa na wajomba mkoani Kagera, nilipokuwa na umri wa miaka 17 niliwahi kulawitiwa na mjomba angu kwa kipindi cha mwaka mzima na nikivuta kumbukumbu zangu nadhani ilifikia zaidi ya mara nane. Nilipomaliza for 4 nikaondoka huko Kagera na kuja kuishi Dar kwa dada yangu ili niweze kujiendeleza maana matokeo yangu hayakuwa mazuri. Nilipofika Dar nimesomea...
MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.   Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM, anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia! Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufuana Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.Na...
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel juzikati alifunguka na kuweka wazi juu ya mipangilio yake ya ndoa kuwa anatarajia kubeba ujauzito siku chache zijazo kwani ana kiu kubwa ya kuitwa mama.  Akichonga na paparazi wetu Julai 9, mwaka huu nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, Aunt alisema kuwa anajutia sana kukaa kwa muda wote bila kuiruhusu mimba iingie ila siku si nyingi mambo...
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, jana, kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ShingoMkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na matatizo ya shingo.Akizungumza na mwandishi wa habari...
Wafuasi na wapinzani wa rais wa Misri aliyeondolewa madarakani Mohamed Morsi Wanafanya maandamano makubwa mjini Cairo mchana huu, huku waumini wa dini ya Kiislamu wakiadhimisha Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadan. Wafuasi wa Bwana Morsi wanatarajia kuwa mamilioni ya raia wa nchi hiyo, wataendelea kuunga mkono wito wao wa kutaka Bwana Morsi kurejeshwa madarakani. Wapinzani ...
  SERIKALI ya Tanzania imeipa onyo kali nchi ya Rwanda ikiitaka isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi, vinginevyo itajibu mapigo kwa nguvu zote na kuhakikisha kuwa imeichakaza. Kauli hiyo ya kwanza nzito imetolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa kufuatia taarifa ya matamshi makali yanayodaiwa kutolewa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, dhidi ya Rais Jakaya ...
Jay Msangi ambae anaonekana katikati ameshawahi kucheza ngumi akiwa anaishi Marekani. Taarifa ikufikie kwamba yule bondia mkongwe ambae ni mmoja kati ya waliowahi kumiliki headlines za dunia sana Evander Holyfield anatarajiwa kuja Tanzania. PromotaMtanzania Jay Msangi kutoka Hall of Fame Boxing and Promotions Company  ameongea na jovinbachwa na kumwambia hiyo game imepangwa kuchezwa Uwanja...
Kufuatia kuripotiwa kwa habari "kali" sana iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" leo kuhusu mwanadada Irene uwoya na Msanii wa kizazi kipya Diamond platnumz leo na mtandao wa Global publishers, hatimaye Irene Uwoya alichukua dakika kadhaa kuandika hichi alichokiandika hapa chini.... “Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamin mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwaz watu...
 SERIKALI imesisitiza kuwa itatoza Sh 1,000 kwa kila kadi ya simu inayotumika lakini pia inaangalia utaratibu wa kufanya makato hayo kwa njia ambayo haitamuumiza mtumiaji wa simu. Akizungumza jana jijini Dar es salaam, Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa alisema kuwa kupitia tozo hizo wanatarajia kukusanya Sh bilioni 160 kwa mwaka. “Kupitia wawakilishi wenu na sisi...
  HUKU skendo ya kunaswa akiwa na madawa ya kulevya ikiendelea kumtesa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ anatarajiwa kupandishwa kortini nchini Afrika Kusini leo kujibu shitaka ambalo mwenyewe hajaliweka wazi. Kwa mujibu wa habari ya mjini, wawili hao walinaswa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oriver Tambo uliopo Kempton Park siku...
    Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamin mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwaz watu wanakuchukulia vbaya? Leo nimeumia sanaaa kuliko skuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better” alifunguka Uwoya. Sababu kubwa iliyodaiwa...
"     Emmily Omari akiwa selo.  MREMBO mwenye ulemavu wa ngozi, Emmily Omari, 23, mkazi Buguruni, Dar anayedaiwa kujihusisha na biashara haramu ya uchangudoa, hivi karibuni alipandishwa kizimbani kwa madai ya kufanya kosa hilo. Emmily ambaye amekuwa akiwatesa askari polisi ambao wamekuwa wakimkamata mara kwa mara na kumfikisha mahakamani lakini haachi tabia hiyo,...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa...

waliotembelea blog