Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink
ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya
miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa
klabu hiyo, Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki...