Thursday, September 3, 2015

    Huyu ni mwimbaji Mrembo kutoka Mauritius aliyefanya watu waenjoy zaidi kwa kutoa burudani kwenye stage Ni utaratibu ulioanza mwaka 2014 kwa kampuni ya Multichoice kukutana na Waandishi wa habari/Watangazaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika kuonyesha na kuyazungumzia kwa...
… Dereva mahiri wa mbio za magari ya Formula 1 Lewis Hamilton amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na Rihanna kwa zaidi ya mwezi sasa, toka zile picha za wao kuonekana pamoja katika tamasha linalofanyika kila mwaka Barbados ziingie katika headlines, wengi wamekuwa wakiamini kuwa kuna...
Drogba ni mmoja wa mastaa wakubwa Afrika na hata soka la Ulaya, Novemba mwaka huu anatarajia kuzindua kitabu kitakachozungumzia maisha yake kwa ujumla. Akiwa na miaka yake 37 mshambuliaji huyo ameahidi kutoa kitabu hicho ambacho kitazungumzia pia na maisha yake akiwa Ufaransa, umuhimu wa elimu, jinsi ya kutafuta mafanikio katika maisha. Pia...
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania bara leo imekabbidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo yenye thamani ya shilingi milioni 490,00,000. Akikabidhi vifaa hivyo leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twisa alsiema kuwa kwa mara nyingine tena katika kuhakikisha ligi...

waliotembelea blog