Wednesday, October 22, 2014

3-0!!Wachezaji wa Real wakimpongeza mwenzao Karim Benzema baada ya kufunga bao la tatu kipindi cha kwanza cha dakika 45.Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza... Bao la tatu lilifungwa na Karim Benzema tena baada ya kupigwa kona na Pepe kujitwisha kichwa kwenye eneo hatari ndani ya box na hatimae Karim Benzema kuupata na kuusindikiza langoni mwa Liverpool na kumfunga kipa Mignolet...
Dakika za lala salama dakika ya 89 Gibbs ndie aliyeisawazishia bao Arsenal na kufanya 1-1 hapo hapo kwenye dakika za nyongeza Lukas Podolski alifunga bao la Ushindi na kufanya 2-1 dhidi ya RSC Anderlecht .Dakika ya 71 kipindi cha pili Arsenal walifungwa bao na mchezaji Andy Najar baada ya kupata krosi kama kona kutoka kwa Dennis Praet na kujitwisha kichwa na kumfunga kipa wa Arsenal.Andy...
MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya nchini,Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya kuonekana na mavazi halisi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika Tamasha la Fiesta lililofanyika jijini Dar mwishoni mwa wiki. Diamond amejikuta akifikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kamatwa na jana kwa kuhojiwa...
NeymaJr aliendeleza tabia yake ya kufunga, huku Lionel Messi akiendelea kushindana na Cristiano Ronaldo katika orodha ya kuwania ‘ heshima ya mfungaji bora wa muda wote’ wa ligi ya mabingwa Ulaya. Messi pamoja na Ronaldo wamebakiza mabao mawili mawili kila mmoja ili kufikia rekodi ya muda mrefu ya mabao 69 ambayo inashikiliwa na mshambulizi wa zamani wa Hispania na klabu ya Real Madris, Raul...
Didier Drogba alifunga bao lake la kwanza katika kikosi cha Chelsea. Drogba mara ya mwisho aliifungia Chelsea katika mchezo wa fainali wa michuano hiyo dhidi ya Bayern Munich miaka miwili iliyopita. Akiingia uwanjani kuchukua nafasi ya Loic Remy aliyeumia katika dakika ya 16, Drogba alifunga kwa mkwaju wa penalti dakika saba baadae. Chelsea ilichomoza na ushindi wa kishindo wa mabao 6-0 dhidi...
Bayern Munich wakipongezana..Kipindi cha kwanza Bayern Munich wanaongoza bao 5-0 dhidi ya As Roma Robben aanza kutema cheche!! Afungua pazia kwa kufunga bao na kuitanguliza Bayern mbele ya bao 1-0. Arjen Robben ndie aliyeanza kufunga bao la mapema dakika ya 8.Mario Götze akaongeza bao la pili dakika ya 23, Huku Robert Lewandowski akichapa bao la tatu dakika chache kupita kwenye dakika...
Kipindi cha kwanza dakika ya 13 Loïc Remy anaipachikia bao Chelsea baada ya kuwakaanga mabeki wa NK Maribor akipata pasi toka kwa kepteni John Tery  na kuwatanguliza mbele ya bao 1-0 dhidi ya NK Maribor.  D. Drogba aliifungia bao la pili dakika ya 23 kwa mkwaju maridadi wa penati na bao la tatu alifunga Timu Kepteni wao John Terry katika dakika ya 31. Kipindi...
Seydou Doumbia akishangilia na kupongezwa baada ya kutema cheche zake huku akijisifu kwa kutokea benchi na kuwaongoza wenzake kusawazisha bao dhidi ya Man City huko CSKA.CSKA Moscow wametoka nyuma ya bao 2-0 nakusawazisha bao zote mbili kupitia dakika ya 64 na Seydou Doumbia aliyeingia kipindi cha pili na bao la pili kufungwa kwa mkwaju wa...

waliotembelea blog